Rais wa zamani wa Misri asherekea mfungo wa 7 Gerezani

Posted on by ERICK MWEMUTSI

Mohammed Morsi, Rais wa zamani wa Misri aliechaguliwa chini ya misingi ya kidemokrasia afunga Ramadhani yake ya 7 akiwa kifungoni.
Rais Mohammed Morsi aliondolewa madarakani kwa kupinduliwa mwaka 2013.
Ujumbe wa maandishi uliotolewa na familia ya Morsi umesema kuwa Morsi amefungiwa katika chumba cha pekee na hana haki ya kutembelewa na watu wake wa karibu.#KwanzaInternational

About the Author

Leave A Response