Ferooz aeleza sababu zilizofanya kufunga home studio yake.

Posted on by ERICK MWEMUTSI

Nilishawahi kuwa na home studio kwa takribani miaka miwili lakini mwisho wa siku nikaona bado sipo vizuri kwenye production yaani hata nikitengeneza dude lazima niipeleke kwa Producers wengine waitengeneze vizuri, na nikaona kila siku Producers wapya wanazidi kuongezeka na wanavitu vizuri kuliko mimi na hiyo ndiyo kazi yao” 

About the Author

Leave A Response