Nandy kafunguka kuhusu kumchumbia na Ruge

Posted on by ERICK MWEMUTSI

Ni kweli nilikuwa na mahusiano na Ruge, ila hatukupenda mahusiano yetu yaendeshwe na mitandao kwasababu kama yangekuwa wazi kuna watu wangeona ni sawa na wengineo wasingeona sio sawa’- Nandy

Tulikuwa tunajaribu sisi wawili kutengeneza njia ya maisha yetu binafsi ili kufikia lengo letu’- Nandy

About the Author

Leave A Response