RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ATEULIWA KUWA MKUU WA CHUO CHA UDOM NA JPM

Posted on by ERICK MWEMUTSI

Rais Magufuli amemteua Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kwa kipindi cha pili mfululizo, pia amemteua kwa kipindi cha pili mfululizo Profesa Ignas Rubaratuka kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA).

About the Author

Leave A Response