ERICK MWEMUTSI

This user hasn't shared any profile information

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na shahidi wa kwanza wa Jamhuri katika kesi kufanya mkusanyiko isivyo halali inayomkabili...

WABUNGE wameonesha kukerwa na kutokamilika kwa mazungumzo na kampuni ya China inayotaka kuwekeza bandari ya Bagamoyo kwa takribani miaka saba sasa. Aidha...

Rais Magufuli amemteua Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kwa kipindi cha pili mfululizo, pia amemteua kwa kipindi...

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili...

Ni kweli nilikuwa na mahusiano na Ruge, ila hatukupenda mahusiano yetu yaendeshwe na mitandao kwasababu kama yangekuwa wazi kuna watu wangeona ni...

Nilishawahi kuwa na home studio kwa takribani miaka miwili lakini mwisho wa siku nikaona bado sipo vizuri kwenye production yaani hata nikitengeneza...

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameibuka na kufunua siri yake ambayo hajawahi kuisema kwamba, alipokuwa akisoma sekondari katika Shule ya St.Thomas...

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameitaka serikali kueleza kwa nini ujenzi wa mradi wa bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani haujengwi licha ya mzabuni...

KAMPUNI ya UDART imesitisha huduma ya usafiri sehemu inayopitia eneo ya Jangwani na kwenda Morocco bonde la Mkwajuni kwa muda baada ya maeneo hayo kujaa...

MFANYABIASHARA Abdul Nsembo ‘Abdukandida’ (45) na mkewe Shamim Mwasha (41) ambao ni wakazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika...