ERICK MWEMUTSI

This user hasn't shared any profile information

Taifa la Tanzania limekumbwa na majonzi baada ya kumpoteza mwana msomi na mfanya biashara maarufu ambaye ni mmojawapo wa watu matajiri zaidi barani Afrika. Hatahivyo...

Jacqueline Ntuyabaliwe (Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi) ambaye pia anajulikana kama K-Lyn alizaliwa tarehe 6 mwezi Disemba 1978 mjini Dar es Salaam,...

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP na moja ya watu matajiri na mashuhuri nchini Tanzania Reginald Mengi amefariki dunia. Taarifa hiyo imethibitishwa...

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

KIPA mwenye heshima kubwa kwenye soka la Tanzania, Juma Kaseja amesema kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Mengi ni pengo kubwa. Dk....

IKIWA imepita miezi tisa baada ya kifo cha mchekeshaji maarufu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, aliyekuwa mke wake, Aisha Yusuph amefunguka...

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, juzikati alivutiwa na ngoma...

TIMU ya Simba Queens imeendelea kuonyesha ubabe kwenye Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite, baada ya kuiadhibu timu ya Baobab mabao 6-0 kwenye...

Mwanamuziki wa marekani Chris Brown ametoa orodha ya majina ya wasanii ambao atawashirikisha kwenye Album yake mpya inayokuja ‘’INDIGO’’...

MAANDALIZI ya kaburi atakamopumzishwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi, yanaendelea nyumbani kwao katika Kijiji cha...