You Are Browsing ‘Entertainment & Sports’ Category

Nipsey Hussle‘s final day on a music video set was an uplifting, almost spiritual experience alongside DJ Khaled and John Legend … as you can see here. K2B obtained this behind-the-scenes footage showing Nip, John and Khaled recording the vid … just a few days before...

Ni kweli nilikuwa na mahusiano na Ruge, ila hatukupenda mahusiano yetu yaendeshwe na mitandao kwasababu kama yangekuwa wazi kuna watu wangeona ni...

Nilishawahi kuwa na home studio kwa takribani miaka miwili lakini mwisho wa siku nikaona bado sipo vizuri kwenye production yaani hata nikitengeneza...

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameibuka na kufunua siri yake ambayo hajawahi kuisema kwamba, alipokuwa akisoma sekondari katika Shule ya St.Thomas...

NILISIKILIZA mahojiano ya Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ mara baada ya kutua Bongo juzikati katika ziara yake ya kibalozi.  Alipoulizwa...

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, limeitaka Yanga kutoa uamuzi juu la hatma ya aliyekuwa kipa wa timu hiyo Beno Kakolanya na ilipewa siku nne kutoa jibu. Hii...

Nahodha wa Taifa Stars, anayecheza katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa tatu wa Genk kutwaa tuzo hiyo...

MSANII wa Filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amedai kuwa ndoa ya mpenzi wake wa zamani, Rajab Khan ‘Harmonize’ inaweza kumpa presha iwapo itakuwa...

Kim Kardashian is helping free inmates at an amazingly high rate, and she’s been doing it rather quietly … until now.  We’ve...

EEMMANUEL MATHIAS,  almaarufu ‘MC Pilipili’,  anashikiliwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar tangu tarehe 2...