You Are Browsing ‘Entertainment & Sports’ Category

Jacqueline Ntuyabaliwe (Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi) ambaye pia anajulikana kama K-Lyn alizaliwa tarehe 6 mwezi Disemba 1978 mjini Dar es Salaam, Tanzania. Ni Mwanamuziki , mfanyabiashara na aliwahi kushinda taji la malkia wa Urembo nchini Tanzania (2000). Ni Mwanzilishi wa kampuni ya samani...

KIPA mwenye heshima kubwa kwenye soka la Tanzania, Juma Kaseja amesema kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Mengi ni pengo kubwa. Dk....

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, juzikati alivutiwa na ngoma...

TIMU ya Simba Queens imeendelea kuonyesha ubabe kwenye Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite, baada ya kuiadhibu timu ya Baobab mabao 6-0 kwenye...

Mwanamuziki wa marekani Chris Brown ametoa orodha ya majina ya wasanii ambao atawashirikisha kwenye Album yake mpya inayokuja ‘’INDIGO’’...