You Are Browsing ‘Politics’ Category

SPIKA Job Ndugai ametangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele kwenye Bunge la Afrika (PAP) ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Bunge hilo kwa tuhuma za utovu wa nidhamu mpaka atakapohojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge. Ndugai ametangaza uamuzi huo leo Alhamisi, Mei 16, 2019 wakati akizungumza...

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na shahidi wa kwanza wa Jamhuri katika kesi kufanya mkusanyiko isivyo halali inayomkabili...

Rais Magufuli amemteua Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kwa kipindi cha pili mfululizo, pia amemteua kwa kipindi...

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameitaka serikali kueleza kwa nini ujenzi wa mradi wa bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani haujengwi licha ya mzabuni...

SAA  chache baada ya mawakili watatu kuwafungulia maofisa wa polisi na vikosi vya usalama kuhusu madai ya kutekwa nyara na kuzuiliwa kinyume...

MBUNGE wa upinzani nchini Uganda ambaye pia ni msanii wa muziki, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine,  ameungana na mwanaharakati wa kisiasa...

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Limited, marehemu Reginald...

Mohammed Morsi, Rais wa zamani wa Misri aliechaguliwa chini ya misingi ya kidemokrasia afunga Ramadhani yake ya 7 akiwa kifungoni. Rais Mohammed...

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP na moja ya watu matajiri na mashuhuri nchini Tanzania Reginald Mengi amefariki dunia. Taarifa hiyo imethibitishwa...

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumhoji Mbunge wa Iringa Mjini, Mch Peter Msigwa, kuhusiana...