You Are Browsing ‘Social’ Category

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Juni, mwaka huu. Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25....

KAMPUNI ya UDART imesitisha huduma ya usafiri sehemu inayopitia eneo ya Jangwani na kwenda Morocco bonde la Mkwajuni kwa muda baada ya maeneo hayo kujaa...

MFANYABIASHARA Abdul Nsembo ‘Abdukandida’ (45) na mkewe Shamim Mwasha (41) ambao ni wakazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika...

Hai. Huku bado familia inaomboleza kifo cha mfanyabiashara tajiri, Reginald Mengi aliyefariki mapema mwezi huu, wapo ambao wamefaidika kiharamu na msiba...

Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amesema katika zama hizi ukimshambulia kiongozi mmoja wa dini ni...

MWANAFUNZI Mtanzania Allen Buberwa (22) aliyekuwa akisoma chuo nchini Marekani, ameripotiwa kufa maji katika mto Buffalo uliopo Pruitt Jimbo la Arkansas. Taarifa...

Kutokana na kauli zilizohusisha kabila la Wachaga (kwamba ni ajabu Mchaga kutoa fedha kusaidia walemavu) zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

MBUNGE wa Mtama (CCM), Nape  Nnauye,  ameeleza namna ambavyo Dkt. Reginald Mengi alivyokisaidia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wakiwa...

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka Watanzania kutogombanishwa na kauli za viongozi hasa za kikabila...

Maandalizi yakiwa yamekamilika pahala ambapo mpendwa wetu Dr.Mengi atapumzishwa. ...