You Are Browsing ‘Social’ Category

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi umewasili na kuingizwa katika Ukumbi wa Karimjee, uliyopo Posta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho na kuagwa leo Jumanne, Mei 7, 2019. Familia ya Marehemu, Dkt. Reginald Mengi wakiwemo watoto...

Rais Dkt. Magufuli ataongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu Dkt.  Reginald Mengi. Viongozi wengine walioko...

Jacqueline Ntuyabaliwe (Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi) ambaye pia anajulikana kama K-Lyn alizaliwa tarehe 6 mwezi Disemba 1978 mjini Dar es Salaam,...

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

IKIWA imepita miezi tisa baada ya kifo cha mchekeshaji maarufu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, aliyekuwa mke wake, Aisha Yusuph amefunguka...

MAANDALIZI ya kaburi atakamopumzishwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi, yanaendelea nyumbani kwao katika Kijiji cha...

Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Dkt. Ali Hassan Mwinyi akiwa ameongozana na mkewe wamewasili msibani nyumbani kwa marehemu Dkt. Reginald Mengi, Kinondoni...

Watu arubaini na moja wameuawa baada ya ndege ya Urusi kutua kwa dharura na kulipuka moto katika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo mjini Moscow. Video...