Google search engine
HomeEntertainmentTulishtushwa sana baada ya kugundua ni mapacha-Davido

Tulishtushwa sana baada ya kugundua ni mapacha-Davido

Mwimbaji maarufu, David Adeleke, AKA Davido, amesema kuwa yeye na mkewe, Chioma walikuwa wakitetemeka kwa furaha walipogundua kuwa walikuwa wanatarajia watoto mapacha.

Kumbuka kwamba wanandoa hao Mashuhuri walionekana na mapacha wao wachanga kwa mara ya kwanza kwenye video iliyotolewa Ijumaa.

Akizungumza katika hafla ya United Masters5 Select Con Jumapili, mwimbaji huyo wa ‘Timeless’ alisema Mungu alimbariki na mapacha mwezi huo huo mwanawe, Ifeanyi alipofariki.

Davido na mkewe  walipoteza mtoto wao baada ya tukio la swimmingpool nyumbani kwao mnamo Oktoba 2022.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
Google search engine

Most Popular

Recent Comments